Uncategorized

CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL

admin July 26, 2019 4:31 am


DANI Ceballos mchezaji mpya wa kikosi cha Arsenal ambaye amejiunga kwa mkopo akitokea Real Madrd amesema kuwa ni wakati wake kuonyesha uwezo wake alionao.

Ceballos amesema kuwa ana imani mashabiki watapenda wenyewe namna atakavyofanya ndani ya kikosi hicho.

“Ni furaha kuwa ndani ya kikosi cha Arsenal na nina amini kwamba thamani ya jezi niliyopewa lazima niifanyie kazi kwa kuwa nakutana na kocha mwenye uwezo mkubwa,” amesema.

Jezi aliyokabidhiwa ni namba nane na iliwahi kuvaliwa pia na Mikel Arteta na Aaron Ramsey.

NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU WAGENI 100 WAIGOMBANIA NAFASI YA AMMUNIKE, WAZAWA WAICHUNIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply