Uncategorized

NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU

admin July 26, 2019 3:31 am

MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.

Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kuitumikia timu ya AFC Leopards, uongozi wa Simba umemuweka kwenye hesabu za kumtoa kwa mkopo.

Kaheza amesema: “Mimi ni mchezaji na uwezo wangu unajulikana hivyo kikosi ambacho nitakwenda ninahitaji kupata namba kikosi cha kwanza,” amesema.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply