Uncategorized

MWINYI ZAHERA ATIA TIMU KAMBINI MOROGORO, SHANGWE KAMA LOTE

admin July 28, 2019 12:50 pm

MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga leo amewasili kambini Morogoro na kupokelewa kwa shangwe za kutosha na mashabiki wa mkoani Morogoro.

Zahera amerejea akitokea nchini Ufaransa ambapo alikuwa huko kwa likizo ya siku 13 baada ya kumaliza michuano ya Afcon na timu yake ya Taifa ya Congo akiwa ni kocha msaidizi.

Zahera atashuhudia kikosi chake leo kikimenyana na Mawenzi Market mchezo wa kirafiki maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KIAKACHOANZA LEO DHIDI YA KENYA, UWANJA WA TAIFA VIDEO: YANGA YATOA MSAADA HOSPITALI YA MBEZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply