Uncategorized

DUH! KAMBI YA SIMBA SI YA MCHEZOMCHEZO

admin July 17, 2019 12:55 pm


MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kwa sasa wameweka kambi nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Simba watapeperusha Bendera ya Taifa kwenye michuano ya kimataifa na wana kibarua kizito cha kutetea taji lao tena.

Dozi wanayoipata nchini Afrika Kusini ni asubuhi na jioni na kambi waliyoweka sio ya mchezomchezo kwani ilitumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza kwenye michuano ya Kombe  la Dunia mwaka 2010 lililofanyika nchini Afrika Kusini.

KWA TIZI HILI LA YANGA MOROGORO, SIMBA WAJIPANGE – VIDEO HUKU UNITED IKIMPIGA MTU 4-0, RASHFORD NA POGBA WACHEZAJI BORA WA MECHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply