Uncategorized

MABINGWA SIMBA WAANZA NA MKWARA HUU

admin August 1, 2019 8:33 am

BAADA ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba kurejea kutoka Afrika Kusini, Kocha Mkuu Patrick Aussems amesema kuwa kazi ndo kwanza inaanza.

Simba ilikweka kambi nchini Afrika Kusini ambayo imetumia muda wa wiki mbili kwa sasa wamerejea Bongo kwa maandalizi ya msimu ujao.

“Tumemaliza salama kazi yetu ya kwanza ambayo ilikuwa ni maandalizi na sasa kikubwa tunaendelea vizuri hivyo kazi yetu kubwa ni kuendelea kile ambacho tumejifunza,

“Kwanza ratiba yetu inatutaka uanze kwenye Ligi ya Mabingwa jao ni muda mfupi nina imani tutafaya vizuri, kikubwa ni kwamba kila mmoja amefurahi nasi tutapambana,” amesema.

 Agosti sita, Simba itacheza mchezo wa kirafiki na Power Dynamo ambao ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na uzi mpya wa Simba na ni wiki maalumu iliyopewa jina la SportPesa Simba wiki.

MWENDO WA YANGA KUKUSANYA KIJIJI NOMA, CHEKI VIKOSI VIWILI VILIVYOKUSANYWA, YANGA: KWA MOTO WA SIBOMANA, BALINYA LAZIMA KARIOBANG SHARK WAKAE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply