Uncategorized

IDRSSA GUEYE: ULIKUWA MPANGO WANGU KUTUA PSG, NINA FURAHA KWA SASA

admin August 2, 2019 12:03 pm


MPANGO wa nyota wa timu ya Everton kutimkia Paris Saint Germain umemfanya awe na furaha muda wote Kwa sasa.

Gueye mwenye umri wa miaka 29 amejiunga na mabingwa wa Ligue 1 kwa mkataba wa miaka minne.

Nyota huyo anayekipiga timu ya Taifa ya Senegal sasa atakuwa naye ndani ya kikosi cha mabingwa hao.


 “Baada ya kurejea kwenye michuano ya Afcon, nilikuwa nataka nipate changamoto mpya na nilipokuwa nikihusishwa na PSG sikuwa na mashaka kwani ni timu yenye mipango Bora. 

“Ni furaha kwangu kutimiza ndoto zangu, ilikuwa sehemu ya mipango yangu,” amesema Idrissa Gueye nyota mpya wa PSG kutoka Everton.


Imeripotiwa kuwa dau lake la uhamisho ni Euro milioni 32.

KIKOSI CHA SINGIDA UNITED 2019/20 HIKI HAPA YANGA: NUNUENI JEZI HALISI KWA MANUFAA YA KLABU, UBORA WAKE HAKUNA MFANO BONGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply