Uncategorized

SIMBA WAPEWA MAMILIONI YA KUTOSHA NA SportPesa

admin August 2, 2019 12:42 pm


NEEMA imezidi kuongezeka kwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara, msimu wa 2028/19 lo baada ya kupewa hundi na wadhamini wa klabu hiyo SportPesa.

Simba leo wamepeleka kombe la Ligi Kuu Bara kwenye ofisi za Tanzania SportPesa ambapo uongozi wa SportPesa wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Bw. Pavel Slavkov ukakabidhi hundi ya Tsh 100,000,000/= kama pongezi.

YANGA: NUNUENI JEZI HALISI KWA MANUFAA YA KLABU, UBORA WAKE HAKUNA MFANO BONGO YANGA WAZINDUA RASMI UZI WAO MPYA KWA MWAKA 2019/20

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply