Uncategorized

NAHODHA STARS: TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MBELE YA KENYA

admin August 3, 2019 1:37 am

JOHN Bocco, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amesema kuwa imani kubwa kwa sasa ni kupata matokeo chanya mbele ya Kenya.

Stars ipo Kenya kwa ajili ya mchezo wa marudio dhidi ya Kenya utakaochezwa Agosti 4 na ili kusonga mbele kwenye michuano ya Chan ni lazima Stars kupata ushindi ikiwa ni baada ya kupata sare ya bila kufungana uwanja wa Taifa.

“Makosa ambayo tulifanya awali tayari benchi la ufundi limeyafanyia kazi hivyo imani yetu ni kupata matokeo chanya.

“Shukrani kwa mashabiki kwa sapoti zao tunatambua namna ambavyo wapo nasi hivyo nasi tutapambana kusonga mbele kwenye michuano hii,” amesema.

TFF KUZIPIGA PANGA TIMU ZA TPL MSIMU HARRY MAGUIRE KUMALIZANA NA MANCHESTER UNITED MAPEMA KWA MKWANJA MREFU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply