Uncategorized

TFF KUZIPIGA PANGA TIMU ZA TPL MSIMU

admin August 3, 2019 12:37 am


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kupunguza timu zinazoshiriki ligi kuu Soka Tanzania bara mpaka kufikia timu 16.

Kupitia ukurasa maalumu wa Shirikisho hilo kwenye mtandao wa Twitter TFF imeandika “Tumepanga kupunguza timu kutoka timu 20 msimu huku mpaka timu 16 msimu wa mwaka 2021/2022, hii ni baada ya kufanya tathmini ya kina juu ya ligi yetu”.


Timu 20 ziliongezwa na TFF msimu wa mwaka 2018/19 ambapo Ligi ilimalizika bila ya kuwa na mdhamini mkuu.

DANI ALVES ATIMKA MAZIMA PSG NAHODHA STARS: TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MBELE YA KENYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply