Uncategorized

DANI ALVES ATIMKA MAZIMA PSG

admin August 2, 2019 1:37 pm

DANI Alves amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Sao Paulo baada ya kumaliza mkataba na kikosi cha PSG.

Nyota huyo amesaini kandarasi na miamba hao wa Brazil mpaka December 2022.

Sao Paulo wamethibitisha kuipata saini ya nyota huyo ambaye ni beki pia wa kulia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil.

Alves mwenye umri wa miaka 36 alitia timu mara ya Kwanza Europe mwaka 2002 alipojiunga na Sevilla akitokea timu ya Bahia bure na amekaa miaka miwili na Mabingwa hao wa Ligue 1.

MABINGWA SIMBA WALIVYOINGIA KWA WADHAMINI WAO SPORTPESA NA KUKABIDHI KOMBE, WAO WAKAONDOKA NA MKWANJA TFF KUZIPIGA PANGA TIMU ZA TPL MSIMU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply