Uncategorized

BIASHARA UNITED : TUMEJIPANGA KULETA USHINDANI MSIMU UJAO

admin August 6, 2019 1:26 pm


KOCHA wa Biashara United, Amri Said amesema kuwa msimu ujao ushindani utakuwa mkali hivyo hawatafanya uzembe mwanzoni.

Akizungumza na Saleh Jembe, Said amesema kuwa msimu uliopita kulikuwa na ugumu mwishoni kutokana na ushindani uliokuwepo hivyo wanatumia tahadhari hiyo kujipanga.

“Tulikuwa kwenye wakati mgumu kutokana na ushindani ambao ulikuwepo ila tumejifunza na tumetumia changamoto hiyo kuwa sehemu ya kufanya kitu cha kipekee,” amesema.

NYOMI KAMA LOTE TAIFA SIMBA DAY, TIMU ZAWASILI, WALE WA BUKU TANO TIKETI ZIMEKATA ABDI BANDA AANZA MAISHA MAPYA YA SOKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply