Uncategorized

CHELSEA YAKUBALI KUMUACHIA NYOTA WAO LUZ KWA HASARA KUTUA ARSENAL

admin August 8, 2019 8:54 am


ARSENAL inatakiwa ivunje kibubu na kuweka mezani dau la pauni milioni 12 Kwa Chelsea ili kumpata nyota David Luiz.

Beki huyo raia wa Brazil amewaambia mabosi wake kuwa anataka kusepa ndani ya kikosi hicho na bosi mpya Frank Lampard akamwambia haina noma waweza kusepa.

Chelsea ilimnasa nyota huyo mwaka 2016 kwa dau la pauni milioni 32 wamekubali dau dogo ili kupata mchezaji nje ya klabu yao.

Luiz amebakiza mwaka mmoja pekee ndani ya Stamford Bridge hivyo Lampard anajipanga kuipokea hasara hiyo iwapo nyota huyo atasepa.

MABOSI MANCHESTER CITY WAKUBALIANA KUMPA NAMBA MPYA NYOTA WAO MPYA AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAAJABU KWA WAETHIOPIA JUMAPILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply