Uncategorized

POLISI TANZANIA: MSIMU UJAO MAMBO YATAKUWA MOTO, MDHAMINI MKUU PASUA KICHWA

admin August 8, 2019 12:34 am


SELEMAN Matola, Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa ushindani msimu ujao utakuwa mgumu kutokana na timu zote kujipanga kwa ushindani.

Matola amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa kwa timu nyingi kujipanga kiushindani licha ya kutototangazwa kwa mdhamini mkuu.

“Ushindani msimu ujao utakuwa mkubwa na kila timu imejipanga, ila changamoto kubwa ambayo ipo kwa sasa ni kwa upande wa mdhamini mkuu kwani mambo bado.

“Endapo atapatikana mdhamini ligi itanoga kwani timu nyingi kwa sasa zinajiendesha zenyewe na hali sio shwari kiuchumi,” amesema.

SportPesa, SIMBA YATOA VIFAA KWA MICHEZO KWA TIMU TATU BONGO SIMBA IPO BIZE NA MCHAKATO WA KUIREJESHA MIKONONI MWA WATU, KILA MMOJA KUWA SEHEMU YA MAFANIKIO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply