Uncategorized

DUH KUMBE LUKAKU ALIKUWA UNITED MAWAZO YAKE JUMLA YAPO INTER MILAN

admin August 9, 2019 3:10 am


ROMELU Lukaku nyota mpya wa Inter Milan amewaambia mashabiki na viongozi wa timu yake ya zamani Manchester United kuwa wanastahili shukrani.

Lukaku amekamilisha dili ya kujiunga na Inter Milan Kwa kandarasi ya miaka mitano.

Dili hilo la mshambuliaji huyo anayekipiga timu ya Taifa ya Ubelgiji limekamilika kwa dau la pauni milioni 80.

Lukaku amesema kuwa”Inter sio kwa kila mmoja, ndio maana kwa sasa nipo hapa.


 “Inter ni klabu pekee ambayo nilikuwa naitaka ndio maana kwa sasa nipo hapa kwa sababu si kwa kila mmoja,”.

 Lukaku amefunga jumla ya mabao 27 kwenye michuano yote akiwa ndani ya United, ila msimu uliopita alikuwa na ukame wa mabao alipachika jumla ya mabao 12 pekee.

NYOTA MPYA WA YANGA, RAIA WA RWANDA SIBOMANA AAMUA KUFANYA KWELI, AMSHUSHA MKEWE DAR BEKI TANZANITE AWEKA REKODI TAMU, KILA MECHI ANACHEKA NA NYAVU, ANA TUZO MOJA YA MCHEZAJI BORA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply