Uncategorized

UTATA KIFO FRANCIS CHEKA: MKEWE AFUNGUKA KILA KITU – VIDEO

admin August 14, 2019 9:09 pm


Siku chache zilizopita ulizuka uvumi wa kwamba bondia, Francis Cheka, amefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro baada ya lori la mafuta kulipuka na kuua zaidi ya watu 70.

Ilisemekana kwamba Francis Cheka ambaye anaishi mkoani humo na anafanya biashara zake maeneo ya Msamvu ambapo ajali ilitokea, kuwa siku ya tukio alikuwepo ofisini kwake na lori lilivyolipuka likaondoka na maisha yake.

Katika kuthibitisha taarifa hizo, Global TV imefanya jitihada za kumtafuta mke wa Francis Cheka, ambaye amekanusha taarifa hizo na kusema mumewe yupo hai.

TABU NYINGINE YAIANDAMA YANGA, MMOJA NJE KWA MUDA USIOJULIKANA MECHI MOJA TU KIMATAIFA, SIBOMANA AWEKA REKODI CAF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply