Uncategorized

AZAM FC KUTESTI MITAMBO KWA NAMUNGO FC LEO

admin August 15, 2019 8:34 am

KIKOSI cha Azam FC leo kitacheza mchezo wa kirafiki na Namungo FC uwanja wa Chamazi majira ya saa 1:00 jioni.

Mchezo huo wa kirafiki ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya michezo yake miwili iliyopo mkononi ambayo ni ule dhidi ya Simba, Jumamosi pamoja na Fasil Kenema ya Ethiopia.

Azam ana kibarua cha kucheza na Simba Jumamosi, Uwanja wa Taifa mchezo wa ngao ya jamii na kati ya Agosti 23-25 atacheza na Fasil Kenema ya Ethiopia mchezo wa marudio wa kombe la Shirikisho Afrika.

STERLING KUFIKIA KIWANGO CHA MESSI? WAMBURA AVIFUNGIA VIWANJA VITATU LIGI KUU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply