Uncategorized

BREAKING: NDEGE YA URUSI YAANGUKA SHAMBANI, MLIPUKO WA MOTO WATOKEA – VIDEO

admin August 15, 2019 1:59 pm


NDEGE ya abiria ya Urusi  leo, Agosti 15, 2019, imeanguka baada ya ndege (mnyama) kuingia ndani ya injini na kusababisha mlipuko wa moto katika injini  hiyo huko Moscow.

Ndege hiyo ambayo ni Airbus 321 iliyokuwa na abiria 234 pamoja na wahudumu saba ilikuwa ikitoka Urusi kuelekea Simferopol na kulazimika kutua kwa dharura karibu na uwanja wa kimataifa wa Zhukovsky kusini-mashariki mwa Moscow.

Ndege hiyo iliyoangukia katika shamba la mahindi imesababisha Watu 55 kujeruhiwa wakiwemo watoto 17 wenye umri kati ya miaka miwili  hadi tisa, ambao wote wapo hospitali kwa matibabu.

ALLY MAYAY AKANUSHA TAARIFA ZA KUICHANA YANGA ‘SIYO MIMI JAMANI’ HATA NIKIZEEKA LADHA YANGU IKO PALEPALE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply