Uncategorized

LAMPARD KWENYE KIBARUA KINGINE LEO LIGI KUU ENGLAND

admin August 18, 2019 10:51 am


KIKOSI cha Chelsea leo kitacheza mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu England dhidi ya Leicester City.

Mchezo huu utakuwa ni wa kwanza kuwa nyumbani baada ya ule wa kwanza kupoteza ugenini kwa kufungwa mabao 4-0 mbele ya Manchester United.

Frank Lampard, Meneja wa Chelsea amesema kuwa utakuwa mchezo mgumu na wenye ushindani mkubwa.

Mchezo huu utachezwa uwanja wa Stamford Bridge.

SERIKALI YAIKUBALI YANGA, YAHOJI NANI ANAYESEMA NI DHAIFU TANZANIA KESHO KAZINI KUMENYANA NA UGANDA MICHUANO YA CECAFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply