Uncategorized

SERIKALI YAIKUBALI YANGA, YAHOJI NANI ANAYESEMA NI DHAIFU

admin August 18, 2019 10:46 am


JERRY Muro, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani ambaye aliwahi kuwa Ofisa Habari wa Yanga amewashangaa wanaodai kuwa Yanga ni timu dhaifu.

Muro amesema: “Nani anasema Yanga ni timu dhaifu? Yanga ni timu Bora msimu huu kuliko timu yoyote isipimwe uwezo wake kwa mechi za kirafiki itakuja kufanya balaa siku za usoni,” amesema.

Yanga ilipoteza hivi karibuni mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania uliochezwa Uwanja wa Ushirika Moshi Kwa kufungwa mabao 2-0 ambapo wafungaji walikuwa ni Marcel Kaheza na Ditram Nchimbi.


Mwinyi Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya kushindwa kufurukuta mbele ya Polisi Tanzania ni ubovu wa Uwanja.

RATIBA YA MICHUANO YA CECAFA KWA TIMU YA TAIFA CHINI YA MIAKA 15 LAMPARD KWENYE KIBARUA KINGINE LEO LIGI KUU ENGLAND

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply