Uncategorized

MTIBWA SUGAR: TUPO TAYARI KWA LIGI

admin August 19, 2019 8:11 am


ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema maandalizi ya kikosi kwa ajili ya msimu mpya yanakwenda vizuri.

Mtibwa Sugar kibarua chake cha kwanza itakuwa ugenini dhidi ya Lipuli ya Iringa, Uwanja wa Samora, Agosti 25.

Akizungumza na Saleh Jembe, Katwila amesema kuwa imani kwa kikosi ni kubwa kutokana na maandalizi. 


“Imani ni kubwa kwa kikosi na maandalizi yanaendelea vizuri, wachezaji wana furaha na timu inapambana kuwa kwenye ubora wake muda wote. 

“Tupo sawa kwa sasa kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, tuna imani ya kuleta ushindani ni suala la muda mashabiki watupe sapoti,’ amesema.

Mchezo wa kwanza wa Mtibwa Sugar utakuwa dhidi ya Lipuli ya Iringa utakaochezwa Uwanja wa Samora Agosti 25.

YANGA YAFANYA KWELI DAKIKA ZA USIKU, YAJIPIGIA AFC LEOPARDS NINJA AIBUA MSALA MECHI YA KWANZA TU AKIWA NA LA GALAXY MAREKANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply