Uncategorized
MAVUGO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZAMBIA, AFUNGA MABAO 10
Straika wa zamani wa timu ya Simba, Laudit Mavugo, ametwaa tuzo ya ufungaji bora nchini Zambia.
Mavugo ambaye anakipiga na Napsa Stars hivi sasa ya nchini humo, ameisaidia timu hiyo kupata jumla ya mabao 10.
Straka huyo aliyekuwa hana bahati alipojiunga na Simba misimu kadhaa iliypita, amekuwa mchezaji tegemeo kunako timu yake.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.