Uncategorized

TANZIA: NYOTA WA ZAMANI WA TIMU YA GHANA AFARIKI DUNIA

admin August 22, 2019 5:34 pm


MCHEZAJI wa zamani wa timu ya Ghana, Junior Agogo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 40.

Agogo ambaye alianza kukipiga katika klabu ya Sheffield Wednesday na kufanikiwa kucheza mechi 27 za timu ya taifa ya Ghana na kufunga magoli 12.

Agogo alipatwa na ugonjwa wa Kiharusi mwaka 2015 ambao ulipelekea mpaka apate tabu ya kuongea.


 Chanzo cha kifo chake hakijaelezwa ni nini.

MBEYA CITY WANAMAINGIZO MAPYA YA KUTOSHA MBALI NA TIMU ZA TPL, CHEKI ORODHA YAO HII HAPA AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WAETHIOPIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply