Uncategorized

YULE MKAZI WA DAR ES SALAAM ALIYELAMBA MKWANJA WA SPORTPESA

admin August 22, 2019 8:59 am


Mkazi wa Dar es Salaam, Yusuph Rajabu Changuvu akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,330,966 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita ya SportPesa. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti, Tarimba Abbas. Jackpot ya wiki hii ni shilingi 825,913,640/= za kitanzania.
HILI HAPA JESHI ZIMA LA MAUAJI LA LIPULI FC MSIMU MPYA MABADILIKO MENGINE LIGI KUU BARA YAFANYWA, KUHUSU IDADI YA TIMU, MENGINENO YAKO HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply