Uncategorized

HARMONIZE AZIDI KUUMIZA VICHWA WATU, WCB WATOA TAMKO JINGINE JUU YAKE – VIDEO

admin August 23, 2019 9:04 pm


HATIMAYE uhakika wa taarifa za kuwa mkali wa Kwangwaru Harmonize hayupo tena katika Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) umethibitishwa na meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Sallam SK.

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Harmonize amejitoa katika Lebo ya WCB lakini palikosekana mtu wa kuthibitisha taarifa hizo.

Akizungumzia ishu hiyo, Sallam SK alisema: “Ni kweli Harmonize ameandika barua ya kuomba kujitoa katika Lebo ya Wasafi , hivyo sisi kama uongozi hatujaona kama hilo ni tatizo kwa sababu mwisho wa siku hauwezi kumzuia mtu kufanya kile ambacho anaona kwake kina manufaa zaidi.

SHIBOUB AFICHUA MBINU ZA KUWAMALIZA UD SONGO HARAKA KWA MKAPA, HANA UTANI AZAM: TUTACHUKUA MAKOMBE MATATU MSIMU HUU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply