Uncategorized

SIMBA: KAZI LEO NI NGUMU ILA TUPO TAYARI KUPENYA

admin August 25, 2019 12:48 pm


PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wa leo utakuwa mgumu na kazi yao itakuwa moja kutafuta matokeo.

Akizungumza muda mfupi kabla ya mchezo kuanza uwanja wa Taifa amesema kuwa wanatambua kwamba hatua ya michuano ya kimataifa kila timu ni bora na wanacheza na timu bora.

“Kwenye hatua ya Ligi ya Mabingwa kila timu ni bora tunajua kwamba kazi itakuwa ngumu ila tupo tayari,” amesema Aussems.

Kwenye mchezo wa leo miongoni mwa wachezaji watakaoukosa mchezo huo ni pamoja na nahodha John Bocco pamoja na Ibrahim Ajib.

NAMNA DSTV WALIVYOFYEKA VIFURUSHI NA KUPUNGUZA BEI, SASA EPL NI MCHEKEA KINOMAAA PUKKI; CHUI MPYA ATAKAYESUMBUA PORI LA PREMIER LEAGUE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply