Uncategorized

ZAHERA AWAKATAA ZESCO UNITED

admin August 26, 2019 9:08 pm


Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amekataa kuwazungumzia Zesco United hivi sasa na badala yake akili yake inafikira mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting.

Zahera ameeleza hayo baada ya kikosi cha Yanga kuwasili jijini Dar es Salaam kikitokea Bostwana kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Township Rollers.

Akizungumza mbele ya wanahabri, Zahera ameeleza kwa sasa mipango yao ni kuiwazia Ruvu na si Zesco United.

“Mimi naangalia mechi yetu ijayo na Ruvu, hawa Zesco siwezi kuwazungumzia kwa sasa.

“Tunapaswa kuingia kambini kwa ajili ya mechi hiyo kabla ya kukutana na Zesco maana ni muhimu zaidi,” amesema Zahera.

HAJI MANARA AIBUKA NA JIPYA SIMBA, AMTAJA BALINYA YANGA, UNAWEZA UKACHEKA – VIDEO KMC YAPANIA KUSEPA NA POINTI TATU ZA AZAM FC LEO UHURU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply