Uncategorized

MHALIFU ALIYEWAPIGA WANAHABARI MIKWARA, AIBUKA NA NYINGINE KALI MAHAKAMANI LEO

admin August 27, 2019 10:42 am


Hamis Luwongo anayetuhumiwa kumuua na kumchoma moto mkewe, Naomi Marijani amezua kioja kingine Mahakamani Kisutu baada ya kuiomba mahakama impatie simu zake mbili, atoe pesa za kumsomesha mwanaye.

Mahakama imegoma kwa sababu simu hizo zinachunguzwa ikiwa kama sehemu ya upelelezi wa kesi yake inayomkabili.

Luwongo amerudishwa rumande na pingu miguuni kwa ajili ya kuendelea na uchunguzi wa keshi hiyo.

Hivi karibuni aliwatishiwa waandishi wa habari mahakamani hapo akidai wanampiga picha kila wakati hivyo ipo siku atakuja kuwafanyia kitu mbaya cha kuishangaza mahakama lakini Hakimu alimweleza wanahabari wapo kwenye majukumu yao na ni haki yao kumpiga picha.

Credits. Global Publishers.

DAR ES SALAAM CORRIDOR GROUP KUMUONA MO SALAH LIVE ANFIELD PICHAZ: SIMBA WALIVYOJIFUA GYMKHANA KWA AJILI YA MECHI NA JKT TANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply