Uncategorized

WALIOOA FC WACHEKELEA SAPOTI YA SALEH JEMBE

admin August 30, 2019 5:27 am


NAHODHA wa timu ya Waliooa FC wa Kampuni ya Global Group Publisher, Philip Nkini amechekelea udhamini wa nguvu kutoka kwa Saleh Jembe.

Waliooa FC wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na wale ambao hawajaooa Ijumaa ya wiki ijayo.

Nkini amesema kuwa sapoti kubwa ambayo wameipata kutoka kwa Saleh Jembe ambayo ni ya kambi, malazi na chakula vitawapa nguvu ya kuwanyoosha wapinzani wao.

“Tunashukuru kwa udhamini mkubwa ambao tumeupata kutoka kwa Saleh Jembe, ni muda wetu kujipanga na kufanya makubwa kuonyesha thamani ya udhamini wake,” amesema.

RONALDO AWAPAISHA JUVENTUS INSTAGRAM SUALA LA OKWI LAIBUKA UPYA SIMBA, KIGOGO AFUNGUKA JUU MATUMIZI YA FEDHA ZAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply