Uncategorized

BOSS ALLIANCE: NI KWELI KUNA WACHEZAJI TUNAWACHAPA VIBOKO – VIDEO

admin August 31, 2019 10:20 pm


Ni katika toleo la Championi juzi Ijumaa tuliona namna ambavyo makocha mbalimbali ambao wamewahi kuifundisha timu ya Alliance walivyokuwa wakilalamika kuingiliwa katika kazi yao ya kupanga kikosi.

Kubwa zaidi wanamtuhumu Mkurugenzi wa timu hiyo ambaye pia ndiye meneja James Bwire.

Championi limepiga kmabi Mahina-Buzuruga Nje ya kidogo ya jiji la Mwanza yalipo makazi ya timu ya Alliance  Schools na Kuzungumza na Bwire ambaye amefunguka kila Kitu ikiwemo juu ya tuhuma hizo.

BILO AFUNGUKA MADUDU YANAYOFANYWA NA BOSS ALIANCE, KUMBE SUB ILIMFUKUZISHA KAZI BHANA SAMATTA AITAKA TIMU HII LIGI KUU ENGLAND

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply