Uncategorized

SIMBA KUSHUSHA STRAIKA MKALI ZAIDI YA OKWI, NI HUYU HAPA

admin September 1, 2019 1:02 pm

Inaelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Simba upo kwenye mipango ya kushusha straika wa maana katika dirisha dogo la usajili.


Maamuzi hayo yanakuja kutokana na safu ya ushambuliaji wa Simba kuonekana na mapengo kadhaa tangu kuondoka kwa Mganda, Emmanuel Okwi.

Taarifa za ndani kutoka Simba zinasema uongozi unajipanga hivi sasa kuhakikisha anakuja straika wa maana atakayezidi kiwango cha Okwi kwa ajili ya kuongeza makali.

Straika huyo atakuwa ni wa kimataifa na bado haijajulika nchi atakayotokea maana bado haijawekwa wazi.

Inaelezwa lengo kubwa la kuhitaji straika mwingine ni namna Simba walivyokosa umakini katika mechi na UD Songo ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika ufungaji wa mabo.
KOCHA SIMBA AFUNGUKA KUHUSIANA NA MEDDIE KAGERE – VIDEO WACHEZAJI WATANO AMBAO HAWAJAJIUNGA NA STARS KAMBINI HAWA HAPA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply