Uncategorized

VIDEO: TUKIO LA NDOA YA SUGU JIJINI MBEYA

admin September 1, 2019 12:10 pm

MBUNGE wa Mbeya mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’ leo tarehe 31, Agosti, 2019, amefunga pingu za maisha na mchumba wake Happiness Msonga.

Ndoa hiyo ambayo ilitangazwa siku kadhaa zilizopita imefungwa leo katika Kanisa Katoliki la Ruanda lililopo jijini Mbeya.

Baadhi ya wabunge wameungana naye katika siku hiyo muhimu akiwemo swahiba wake Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay.

AZAM FC YAINYOOSHA TRANSIT CAMP LEO UHURU MABAO 3-1, NGOMA ALIAMSHA MFAHAMU VIZURI SHIBOUB ALIPOZALIWA MPAKA ANATUA SIMBA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply