Uncategorized

BEKI MKONGWE WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL APATA PIGO

admin September 6, 2019 2:09 pm


BEKI wa zamani wa kikosi cha Brazil, Cafu amepata pigo kwa kufiwa na wanaye mkubwa aliyekuwa na umri wa miaka 30.

Mtoto huyo, Danilo Feliciano de Moraes alipata shambulizi la moyo wakati akiwa kwenye mchezo na rafiki zake Jumatano.

Ripoti zinaeleza kuwa Danilo alianza kulalamika dakika 10 baada ya kumaliza kucheza alipokuwa nyumbani kwa baba yake jijini Sao Paulona na alikimbizwa Hospital ya Albert Einstein na alifariki muda mchache licha ya jitihada za madaktari kupambania afya yake.

DIJK ILIBAKI KIDOGO ATUE MANCHESTER UNITED, ALIYEZUIA DILI LAKE HUYU HAPA REKODI HII YA KASEJA NDANI YA TAIFA STARS NA MWENZAKE WA BURUNDI NOMA SANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply