Uncategorized

REKODI HII YA KASEJA NDANI YA TAIFA STARS NA MWENZAKE WA BURUNDI NOMA SANA

admin September 6, 2019 3:09 pm


JUMA Kaseja mlinda mlango wa Timu ya Taifa ya Tanzania ametoshana nguvu na Jonathan Nahimana mlinda mlango wa timu ya Taifa ya Burundi Kwa wote wawili kukubali kufungwa bao mojamoja.

Nyota hao wote walikaa langoni kwa muda wa dakika 90 na wanakipiga pamoja kwenye timu ya KMC yenye maskani yake Dar es Salaam.

Mchezo huo wa Kwanza wa kuwania Kombe la Dunia litakalofanyika mwaka 2022 nchini Qatar ulichezwa Uwanja wa Prince Louis Rwagasore.

Mchezo wa marudiano unatarajiwa kufanyika Septemba 8 Uwanja wa Taifa.

BEKI MKONGWE WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL APATA PIGO FERGUSON AMPA BONGE LA MTIHANI MENEJA WA ARSENAL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply