Uncategorized

FERGUSON AMPA BONGE LA MTIHANI MENEJA WA ARSENAL

admin September 6, 2019 3:38 pm


SIR Alex Ferguson, Kocha mstaafu wa timu ya Manchester United amempa kazi ngumu Kocha wa Arsenal, Unai Emery.

Ferguson amesema Emery ana kazi ya kufanya anavyoweza kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya badala ya kujisifu kuwa amewahi kubeba ubingwa wa Europa League.

Emery alishinda taji la Europa mara tatu akiwa na Sevilla Kati ya mwaka 2014 hadi 16.

Emery ndiye amefichua Siri hiyo kwa kusema kuwa walikutana na Ferguson kwenye mkutano wa makocha nchini Switzerland.

REKODI HII YA KASEJA NDANI YA TAIFA STARS NA MWENZAKE WA BURUNDI NOMA SANA AKILIMALI AANZA KUPOKEA MAELFU YA MCHANGO, ATOA MSISITIZO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply