Uncategorized

HII NDIO SABABU YA NYOTA WA SIMBA KUAMUA KUTIMKA MAZIMA SAUZI

admin September 6, 2019 8:38 am


UHURU Seleman nyota wa zamani wa timu ya Simba ambaye ni raia wa Tanzania amesema kuwa sababu kubwa ya kujiunga na timu ya FC Lupopo ya Congo ni kuhitaji kuwa karibu na familia yake.

Seleman amesaini kandarasi ya miaka miwili ni kwenye klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Congo akitokea kikosi cha Royal Eagles cha Afrika Kusini kinachoshiriki Ligi Daraja la Kwanza na alidumu Kwa muda wa miaka minne.

 “Nimeondoka Royal Eagles, nawashukuru kwa ushirikiano wao na nipo FC Lupopo Kwa mkataba wa miaka miwili na sababu kubwa nitakuwa Karibu na familia yangu,” amesema.

MAHAYAWANI WA AFRIKA KUSINI WANAVYOZIDIWA UFIKIRI HATA NA MPIRA UNAOCHEZWA UWANJANI RAIS MAGUFULI AUMIZWA NA KUONDOKA KWA MUGABE, ATOA TAMKO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply