Uncategorized

RAIS MAGUFULI AUMIZWA NA KUONDOKA KWA MUGABE, ATOA TAMKO

admin September 6, 2019 8:48 am


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC),  John  Magufuli,  amemwelezea aliyekuwa rais wa Zimbabwe, hayati Robert Mugabe, kuwa alikuwa jasiri aliyeupinga ukoloni kwa vitendo.

Magufuli ameelezea hayo kupitia akaunti yake ya Twitter.

Mugabe alikuwa waziri mkuu tangu 1980 hadi 1987 alipokuwa  rais mpaka anang’olewa mwaka 2017.  Alizaliwa Februari 21, 1924, ambapo alitawala nchi hiyo kwa kuudhoofisha upinzani kupitia mabadiliko mbalimbali aliyoyafanya katika katiba ya nchi hiyo.

HII NDIO SABABU YA NYOTA WA SIMBA KUAMUA KUTIMKA MAZIMA SAUZI BABA YAKE MANARA AFUNGUKA KUHUSIANA NA YANGA WANAPOKOSEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply