Uncategorized
LIVE: PAMBA SC 0-0 YANGA SC, MECHI YA KIRAFIKI
Dak ya 3, Kabwili ameanza leo, anawaanzishia wenzake kuanzisha mashambulizi upya, ni baada ya kuwa golikiki.
Dak ya 1, Pamba wamefanya shambulizi la hatari langoni mwa Yanga lakini wanajichanganya na mpira unatoka nje.
Dak ya 1, mechi imeanza baina ya Yanga dhidi ya Pamba, Uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.