Uncategorized

FALCAO NA SELEMAN KUPATA FEDHA ZA BURE TOKA CAF

admin September 8, 2019 9:50 am


Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa wachezaji hao wawili Molinga na Selemani wamewaandalia mgao wa Shilingi 100,000.

Mgao huo wataupata  kuptia fedha itakayoingia ndani ya klabu kupitia Caf kutokana na kukosa mechi ambazo walipaswa kucheza katika mashindano hayo.

“Wachezaji hao ambao hawatacheza Caf tunawapatia 100, 000 kila wiki.

“Lengo ni ili wasiwe wapweke baada ya kukosa mashindano hayo makubwa Afrika ambao ni Molinga na Selemani.

YANGA YAZIMA HUJUMA NA JEURI ZA SIMBA MBONA WATANYOOKA TU!! DE GEA WA YANGA KIMEELEWEKA CAF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply