Uncategorized

PIGO, SASA JUVENTUS KUSEPA NA NYOTA HAWA WATATU NDANI YA MANCHESTER UNITED

admin September 8, 2019 1:02 pm


JUVENTUS imedaiwa kuhusishwa na mpango wa kusepa na wachezaji watatu ndani ya kikosi cha Manchester United ambao ni David de Gea, Eric Bailly na Nemanja Matic.

Licha ya kuwa tayari dirisha la usajili limefungwa lakini Juventus inaamini inaweza kufanya mipango ya kuwasajili wachezaji hao ambao inaonekana hawana furaha kwenye timu hiyo kwa sasa.

De Gea ni kipa namba moja ndani ya United licha ya makosa mengi ya hivi karibuni hajasaini mkataba mpya na hakuna dalili kama anaweza kusaini huku Bailly akiwa na majeraha makubwa ya muda mrefu na hana nafasi ndani ya United baada ya kutua Harry Maguire pia Matic amecheza mara moja tu mbele ya Scott McTominay.

ISHU YA SALAH HAIJAPOA NDANI YA LIVERPOOL YAMUIBUA WENGER LIVE: TANZANIA 0-0 BURUNDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply