Uncategorized

LIVE: TANZANIA 0-0 BURUNDI

admin September 8, 2019 1:10 pm


MCHEZO wa pili kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Burundi umeanza uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa marudio baada ya ule wa kwanza uliopigwa nchini Burundi timu zote kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.

Mchezo wa leo ni maalumu kwa ajili ya kufuzu kwa Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar mwaka 2002.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona ni nani ambaye atakwenda hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia.

PIGO, SASA JUVENTUS KUSEPA NA NYOTA HAWA WATATU NDANI YA MANCHESTER UNITED KADI ZA NJANO 1,200 ZA WAAMUZI ZILIVYOTULIZA MZUKA LIGI KUU ENGLAND

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply