Uncategorized

MASHABIKI WAISHAMBULIA NYUMBA YA NAHODHA TIMU YA TAIFA

admin September 9, 2019 9:48 pm


Mashabiki jijini Free Town wamevamia na kushambulia kwa mawe nyumba ya Nahodha wa Timu ya soka ya nchi hiyo, Umaru Bangura.

Mashabiki hao walifanya hivyo wakidai wamechukizwa na yeye kukosa penalti katika mechi ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2022.

Bangura amelaani kitendo hicho na kusema nusura auvue unahodha kwa kuwa hawakumtendea haki.

Pamoja na hivyo, nyota huyo anayekipiga nchini Uswiss amesema amelazimika KUBAKI chumbani kwa kuwa ana hofu na maisha yake.

BODI YA LIGI YAZIDI KUWAPA WAKATI MGUMU YANGA, WAMBURA AFUNGUKA – VIDEO KASEJA TUNAMSIFIA LAKINI TUKUMBUKE TULIPOMTENGA ILI TUSIRUDIE KWA WENGINE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply