Uncategorized

TETEMO LA ARDHI LAIVAMIA KATAVI

admin September 9, 2019 8:50 am


Tetemeko kubwa la ardhi limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 9:30 (usiku wa kuamkia leo) mkoani Katavi na kuyakumba baadhi ya maeneo mkoani humo na mikoa ya jirani.

Kwa mujibu wa mjiolojia kutoka Taasisi ya Jiolojia, Gabriel Mbogoni amesema tetemeko hilo lina ukubwa wa ritcha 5.5 na kilomita 10.


Aidha, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi amesema tetemeko hilo lilidumu kwa dakika tatu huku akieleza kwamba athari zake bado hazijajulikana

MESSI NA DIJK NDANI YA TETESI MOTO ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMATATU MBELGIJI SIMBA AMFUNGIA KAZI IBRAHIM AJIBU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply