Uncategorized

KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA SIMBA CHAFICHULIWA NA MSHAMBULIAJI WAO NAMBA MOJA

admin January 10, 2020 3:01 pm

MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachowapa mafanikio ni ushirikiano ndani ya timu jambo linalowafanya wapate matokeo mazuri.

Kwenye Ligi Kuu Bara, Kagere ni kinara wa utupiaji akiwa nayo 10 akifuatiwa na Paul Nonga wa Lipuli mwenye mabao nane, leo atakuwa na kazi mbele ya Azam FC kwenye mechi ya nusu fainali ya Mapinduzi itakayochezwa Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar.

Kagere amesema kuwa:” Ni ngumu kufikia mafanikio kama hakuna ushirikiano ndani ya timu, kikubwa ni kujipanga na kuamini kwamba kila kitu kinawezekana, sapoti ya mashabiki ni kubwa nasi tunafurahi tunapopata matokeo mazuri,” amesema.

AZAM FC: SIMBA WETU KABISA TUMEWACHAPA SANA, LEO TUTAPAMBANA JESHI KA SIMBA LEO DHIDI YA AZAM FC, KAKOLANYA NDANI, MANULA BENCHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply