Uncategorized

MWILI WA MKE WA NAHODHA WA AZAM FC, AGREY MORIS KUPUMZISHWA JANUARI, 13,2020

admin January 11, 2020 6:38 pm

KIKOSI cha Azam FC,leo kilienda nyumbani kwa nahodha wa timu hiyo, Agrey Moris kumfariji baada ya kupata msiba wa kufiwa na mke wake Asteria.

Maziko ya mke wa Moris, yanatarajia kufanyika Jumatatu, Januari 13,2020 saa 8 mchana kwenye makaburi ya Mwanagati, yaliyopo Kitunda.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Azam FC, Mke wa Moris alifariki jana jioni akiwa kwenye harakati za kujifungua.

MANCHESTER UNITED YATEMBEZA 4G, RASHFORD AKIWASHA YANGA YAZIDI KUNG’ARA KIMATAIFA, YAINGIA DILI NONO NA KAZIER CHIEFS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply