Home Uncategorized BREAKING; KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA MTIBWA, MO ABWAGA MANYANGA

BREAKING; KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA MTIBWA, MO ABWAGA MANYANGA

BAADA ya Simba kushindwa kuchukua taji la Mapinduzi leo Visiwani Zanzibar, Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Simba, Mo ameamua kujiuzulu kwa kuandika namna hii kwenye mitandao yake ya kijamii.

SOMA NA HII  POLISI TANZANIA YATUMA UJUMBE HUU KUHUSU VIRUSI VYA CORONA