Uncategorized

LIGI KUU BARA: YANGA 0-1 KAGERA SUGAR

admin January 15, 2020 1:27 pm


Kagera Sugar wanatangulia kupata bao la kwanza dakika ya 13 kupitia kwa Yusuph Mhilu baada ya beki wa Yanga kujichanganya kuokoa hatari

UWANJA wa Uhuru kwa sasa mchezo unaondelea ni kati ya Yanga na Kagera Sugar.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona burudani na ushindani wa ligi ambayo inazidi kuchanja mbunga.

Kwa sasa ni kipindi cha kwanza Uwanja wa Uhuru.

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR KAGERA SUGAR YAMKAZIA MBELGIJI WA YANGA, YAMTANDIKA BAO 3-0

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply