Home Uncategorized YANGA WATOKWA NA MACHOZI, INATIA HURUMA – VIDEO

YANGA WATOKWA NA MACHOZI, INATIA HURUMA – VIDEO

347
0
Mashabiki Yanga

Baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 juzi dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, hiki ndicho kilichowatokea mashabiki wa Yanga.