Uncategorized

LIPULI YASAJILI MAJEMBE NANE YA KAZI, DIDA WA SIMBA NA YANGA NDANI

admin January 20, 2020 10:38 am


MLINDA mlango wa Simba wa zamani na Yanga Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na timu ya Lipuli ya Iringa kwenye usajili wa dirisha dogo.

Leo Lipuli imetangaza jumla ya wachezaji 10 ambao ni ingizo jipya ndani Lipuli ikiwa ni pamoja na hawa hapa:-

Peter Mwangosi- Alliance kwa mkopo.


Said Mussa kutoka Yanga kwa mkopo.


Isihaka Luhago kutoka Azam FC.


David Mwantika kutoka Azam FC.


Joseph Mtama Mchezaji Huru.


Ally Myovela kutoka Tanzania Prisons


Said Mussa kutoka Yanga kwa mkopo na Shaban Ada 
Mchezaji huru

NJOMBE MJI HUKO MAMBO SIO MAMBO MZUNGUKO WA PILI UPO NJIANI, WACHEZAJI WAPYA KAZI KUONYESHA UWEZO WENU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply