Uncategorized TAFRANI YAPAMBA VITA YA DIAMOND NA HARMONIZE, MATUSI YATAWALA – VIDEO admin January 20, 2020 9:08 pm Omary Mwanga maarufu kama MARIO amewaingiza vitani Diamond na Harmonize na kufanya mtifuano mkali katika mitandao ya kijamii. Pande zote mbili zimeonesha nia ya kumtaka kinda huyo anayefanya vizuri katika ramani ya muziki kwa sasa.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.