Uncategorized

RASMI, SAMATTA AANZA MAZOEZI ASTON VILLA AKIANDIKA REKODI

admin January 23, 2020 3:26 pm

Mshambuliaji mpya wa Aston Villa, Mbwana Samatta ameanza rasmi mazoezi na kikosi chake kipya.

Samatta ameanza mazoezi na kuandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kufanya kazi England akiwa na timu ya Premier League.

Villa imemsajili Samatta kutoka KRC Genk ya Ubelgiji kwa dau la pauni milioni 8.5 na kuandika rekodi mpya kwa soka ya Tanzania.

Mwanzoni mwa miaka ya 2000, Mrisho Ngassa alifanya majaribio katika kikosi cha West Ham United chini ya Kocha Gianfranco Zola lakini hakufanikiwa.

SIRI YA AZAM FC KUIPIGA MWADUI HII HAPA BAADA YA SAMATTA KUTUAA ENGLAND, MTANZANIA MWINGINE ATUA UFARANSA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply